FULL VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi kuhojiwa leo

Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya.
Leo baadhi ya waliotajwa wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam, tazama kwenye hii video hapa chini kuona ilivyokua.

0 comments:

Post a Comment