Taarifa kutoka kwa mwimbaji staa wa dunia Beyonce ambaye ni mke
wa rapper maarufu Jay Z ni kuhusu yeye na mumewe kutegemea kupata
watoto mapacha.
Kwenye Instagram yake B aliandika >>>Tungependa
kushiriki nanyi upendo na furaha yetu. tumebarikiwa mara mbili zaidi,
tunashukuru sana kwani familia yetu itaongezewa wawili na pia
tunawashukuru kwa kututakia mema – The Carters
0 comments:
Post a Comment