Kumekua na wimbi kubwa la wasanii hasa wa Bongo Flava kuanza kuvaa meno
ya dhahabu. Baadhi ya wasanii ambao wameonekana wakivaa meno hayo ni
pamoja na Dogo Janja na Diamond Platnumz.
Lakini siku za karibuni msani AY nae kaanza kuonekana akiwa kavaa meno
hayo. Na alipoulizwa kua ilikuaje na yeye akaanza kuvaa meno hayo
alifunguka haya ambayo wengi tulikua hatujui. Unaweza tazama video yote
kwa kuclick play hapa chini
0 comments:
Post a Comment