
Chakula lilikua tatizo, mbinu zote za kujiokoa ziligonga mwamba, ilikuaje mpaka wakaanza kusali? maji ndio kitu pekee walikiingiza tumboni, yalitoka wapi? kuna ambao waliomba washushiwe Sigara na vingine….. majibu yote haya yapo kwenye hizi video hapa chini
0 comments:
Post a Comment