Mbowe aliuliza kuwa kutokana na viongozi wa chadema ikiwamo wabunge 2
Lema kunyimwa dhamana na Lijuakali kufungwa kwa sababu za kisiasa,
wabunge 6 wa Chadema kufungwa, kiongozi wa Chadema Lindi nae kufungwa na
viongozi wengine takribani 216 kufungwa au kuwa na kesi mahakamani ni
utekelezaji wa kauli ya Magufuli kufuta upinzani kabala ya 2020?
Waziri mkuu anasema masuala ya mahakamani hawezi kuyazungumzia na nchi inaongozwa kwa katiba na sheria
Mbowe anasema ushahidi upo wa kauli za rais kuanagamiza upinzani kabla
ya 2020 na hafuati katiba na sheria kama alivyodai ila waziri na
wakithibitisha hilo waziri mkuu atakuwa tayari kujiuzulu, ndipo naibu
spika akazuia maswali hayo na kukawepo kelele kutoka kwa wabunge wa
upinzani
0 comments:
Post a Comment