Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako
wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul
makonda.
Askari 9 wamekamatwa wakishirikiana na wauza madawa ya kulevya
Huku wasanii watumiaji wa madawa hayo wakitajwa na kutakiwa kuripoti polisi wenyewe mapema ,
wasanii waliotajwa na kutakiwa kuripoti polisi ni
1. Wema sepetu
2. Petiman wakuache
3. TID
4. Mr. Blue
5.Recho(kizunguzungu)
SOURCE; Clouds FM (Informer)
0 comments:
Post a Comment