Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo kuhusu masualaya
mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia katika
maisha ya mwanadamu.
Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na
wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika
sita kwa sita.
Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na mwenye kuamini katika
kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa
mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo,
Hakikisha unajitahidi wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika
baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili wake ambazo unaamini
zitamsababishia msisimko mkubwa.
Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa nguo zako kisha
mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua ya kwamba
ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa taarifa
mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana
huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi.
Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya hisia kali za
kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea kumshika
baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune
kwenye viganja vyake na mapaja na nk.
Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia kali, hivyo unaweza
kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole vyako na utaona
akisisimka zaidi.
Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke kuweza kumsisimua
vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea tumboni
maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi.
Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa mapenzi kwa wanaume ni
sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu ya mbele
(kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa kimapenzi
kwa haraka zaidi.
Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na zoezi hilo, huku
ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale mwenzi wako
anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo.
Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo na mwenzi wako
jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo hilo la
ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia.
Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana
wakati wa tendo la ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo.
Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante na mpe pole mwenzi
wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe kijasho cha utamu
wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum.
0 comments:
Post a Comment