Baba Amgeuza Bintiye Mwenye Ulemavu Kuwa Mke, Aanza Kumtesa Baada ya Kumtumia na Kumchoka Posted By Unknown Habari ya simanzi na kusikitisha wilayani Chunya Mbeya, Baba amemgeuza bintie wa kumzaa mwenye ulemavu kuwa mke. Baada ya kumtumia kwa namna awezavyo, ameanza kumfanyia vitimbi ikiwa ni pamoja na kuanza kumnyanyasa kuashiria kuwa amemchoka. VIDEO: Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment