VIDEO: Alichoongea Mwanafunzi aliyefaulu zaidi matokeo ya Form IV 2016 na alivyopokewa shuleni

Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2016 Tanzania yametangazwa leo January 31 2017 na baraza la mitihani NECTA ambapo Mwanafunzi wa kwanza kufaulu zaidi kitaifa ametokea kwenye shule ya Feza Dar es salaam na anaitwa Alfred Shauri, tazama hii video hapa chini uone alivyoongea na kupokelewa shuleni kwao.

0 comments:

Post a Comment