Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za ustaa unaotoka
kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah akiendelea
kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake Nillan yuko
nyuma kufuata nyayo zake.
Makampuni takriban matano yamejitokeza kudhamini sherehe za Nillan
kutimiza siku 40, ambapo kwa mara ya kwanza sura yake itaoneshwa.
Sherehe hizo zitafanyika wiki moja ijayo.
0 comments:
Post a Comment