BY@idrissultan - Na muendelee kupiga kelele kutembelea watu central na
recording people bila wao kujua. Kwakua tunachukulia maisha ya watu kama
mfumo wa likes na following bila kujua tunawaumiza kiasi gani kwa
tunachokifanya basi let us proceed na tutaona kama tunaowapenda kama
tunavyosema tutakua tumewatendea haki. Kwa hili nimeshindwa kunyamaza,
you claim to be friends and true people kumbe unafki unatujaa 🙈. We
will kill our families and be the 1st to cry kwenye msiba WHERE IS
HUMANITY ? 😒 Kama hamjaenda kutoa moral support basi kaeni majumbani
kwenu na mposti posti vimachozi na unafki wenu sio kutuchafulia hata
pale pasafi padogo palipobaki 😡😡😡
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment