...
Taarifa za Mchekesha Kansime Kukamatwa na Madawa ya Kulevya London..Ukweli Huu Hapa

Kuna picha inasambaa kwenye mitandao kuanzia ikionyesha sehemu ya habari
iliyoandikwa na mtandao uitwao METRO na inasema Mwigizaji/Mchekeshaji
wa Uganda Anne Kansiime amekamatwa na Polisi kwenye uwanja wa ndege
London akiwa na dawa za kulevya kilo mbili.
Ni habari...
Kamanda Sirro: Tulipata Taarifa Huenda Masogange ni Kati ya Wauzaji au Wasafirishaji wa Unga (Video)

Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amedai kuwa
sababu ya kumshika mrembo maarufu wa video za muziki nchini, Agnes
‘Masogange’ Gerald ni kupata taarifa kuwa huenda akawa mmoja wa wauzaji,
watumiaji ama wasafirishaji wa dawa za kulevya.
“Kwahiyo...
Fahamu Mambo Yanayowachizisha Wanawake...!

HAKUNA aliyeaibika wakati akijaribu kufanya jambo kwa faida yake. Siku
zote kufanya jaribio ni mwanzo wa kuelekea kwenye ufanisi mzuri wa jambo
husika.
Rafiki zangu, ni vema nawe ukajiwekea utaratibu wa kujaribu kufanya
mambo ambayo unadhani huyawezi,...
Vita dhidi ya Dawa za Kulevya: Watoto Hawa Wawasikitisha Wengi (Video)

Moja kati ya jambo lililowasikitisha wengi Jumatatu hii katika mkutano
ulioandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ni pale
walipotajwa watoto wawili wa kike ambapo mmoja ana umri wa miaka 14 na
mwingine 16 kuwa walikuwa wakitumia dawa za kulevya...
OnAIR: Ataemchukulia Irene Uwoya Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni je? (VIDEO)

Mtangazaji Millard Ayo alikaa kwenye studio yake na kumuhoji Mwigizaji wa Tanzania Irene Uwoya aliekubali kuelezea ishu zake mbalimbali kuhusu maisha.
Atafanyaje pale Mwanamke mwingine atapomchukuliwa Mwanaume wake? Wanaume watano wenye sura “mbaya” wanaomvutia? kasemaje...
Vigogo Watema ‘Moto’ Dawa za Kulevya...!!!

Siku mbili baada ya kuwa madarakani, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga amesema hakuna mtu
atakayepona baada ya kubainika akitakatisha fedha zilizopatikana kwa
njia ya dawa za kulevya.
Sianga amesema hayo katika mkutano...
FULL VIDEO: Awamu ya 3 ya Paul Makonda sakata la dawa za kulevya

Leo February 13 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
amezungumza kuhusu vita ya dawa za kulevya awamu ya tatu, awamu hii
Paul Makonda amekabidhi majina 97 ya wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa
za kulevya kwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia...
U HEARD: Irene Uwoya afafanua ishu ya kupenda wenye sura mbaya

Baada ya mwigizaji Irene Uwoya kusema
kuwa anapendelea zaidi kuwa na wanaume wenye sura mbaya, leo kupitia
XXL ya clouds FM, Soudy Brown amepiga naye stori na ameifafanua zaidi
kauli kauli.
‘Nawapenda wanaume wenye sura
mbaya kwa sababu wanajua mapenzi na wanaogopa...
Lissu Awaonyesha Polisi Kuwa Yeye Ni Zaidi ya Kiburi,Adai Maneno ya Uchochezi Katamka Kweli na Hajafanya Kosa..!!!

Baada ya kukaa mahabusu kwa siku nne, Mbunge wa Singida Mashariki
(Chadema), Tundu Lissu amesema kuwa maneno anayoshtakiwa kwa kuyatamka
ni ya kweli na kuwa siyo kosa.
Lissu ambaye yupo nje kwa dhamana, amepandishwa kizimbani katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi...
FULL VIDEO: Kabla na baada ya Wema Sepetu kuachiwa kwa dhamana

Leo kwenye Mahakama ya hakimu
mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mwigizaji Wema Sepetu ambaye
kuanzia wiki iliyopita alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye
sakata la dawa za kulevya.
Mahakamani Kisutu leo imekubali kutoa
dhamana ya mwigizaji huyo ambapo...
Viongozi wa Dini Wamuunga Mkono Makonda...!!

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema dawa za
kulevya zinateketeza nguvukazi ya Taifa, jambo ambalo halipaswi kuachwa
liendelee kumea.
Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,
Sheikh Alhad amesema baraza...
Subscribe to:
Posts (Atom)