Leo February 13 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
amezungumza kuhusu vita ya dawa za kulevya awamu ya tatu, awamu hii
Paul Makonda amekabidhi majina 97 ya wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa
za kulevya kwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za
kulevya, William Sianga.Unaweza kutazama kila kitu kwenye video hii hapa chini
0 comments:
Post a Comment