Baada ya mwigizaji Irene Uwoya kusema
kuwa anapendelea zaidi kuwa na wanaume wenye sura mbaya, leo kupitia
XXL ya clouds FM, Soudy Brown amepiga naye stori na ameifafanua zaidi
kauli kauli. ‘Nawapenda wanaume wenye sura
mbaya kwa sababu wanajua mapenzi na wanaogopa kuachwa, mtu mwenye
muonekano mzuri yuko busy na kujitengeneza lakini mbaya yeye mkiwa
sehemu akili inakuwa pale’;-Iren Uwoya Bonyeza play hapa chini kusikiliza Full Stori
0 comments:
Post a Comment