Mrembo wa video ya wimbo wa ‘Kwetu’ wa Rayvanny, Irene maarufu kwa jina
la Lyyn kwenye mtandao wa Instagram anazidi kuwa mtamu kila kukicha.
Japo mrembo huyo ameonekana kuwa kimya kwa kipindi kirefu lakini kupitia
picha alizoziweka kwenye mtandao huo Lyyn ameonekana kuzidi kunoga na
kuwatoa udenda kwa kumfanya kila kidume rijali kumtamani.
Tazama picha za mrembo huyo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment