Msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee amefunguka na kuweka wazi
kuwa mara nyingi huwa wanagombana na mpenzi wake huyo Jux kutokana na
tabia yake ya kuchelewa kujibu jumbe fupi au hata kupokea simu zake.
Vanessa Mdee alisema haya kwenye kipindi cha 'Ngaz kwa Ngaz'
kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana EATV na kudai kuwa Jux
kwenye suala la simu amekuwa mvivu sana na ndiyo jambo linaloleta
tofauti kati yao.
0 comments:
Post a Comment