VIDEO: Tazama pasi ya Mtanzania Thomas Ulimwengu iliyozaa goli Hispania

Baada ya kumalizana kimkataba na timu ya TP Mazembe ya Congo DRC mwishoni mwa mwaka 2016 na kutotaka kuongeza mkataba, mtanzania Thomas Ulimwengu alijiunga na timu ya AFC Eskilstuna iliyopanda kushiriki ligi kuu Sweden.
Ulimwengu tayari ameungana na timu hiyo na yupo Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Sweden ambapo akiwa huko kwenye timu hiyo kucheza game za kirafiki… Ulimwengu alifanikiwa kutoa pasi ya goli katika moja kwenye moja ya mechi..
Unaweza kutazama pasi ya goli ya Ulimwengu hapa chini kwa kubonyeza play

0 comments:

Post a Comment