Muonekano mpya wa Mtoto aliyeokotwa mtaani Nigeria akiwa mwenye hali mbaya

Sura ya furaha inaendelea kuonekana kwa mtoto Hope aliyechukuliwa mtaani nchini Nigeria wakati huo akiwa na miaka miwili baada ya kuachwa na Wazazi wake ikisemekana ni Mchawi.
Inasemekana alitelekezwa na familia yake kwa sababu walidhani yeye ni mchawi ambapo baadae akapatikana mtaani na kuchukuliwa na Mwanamke raia wa Denmark Anja Ringgren Loven aliyejitolea kumlea na kuishi nae.
Baada ya kuchukuliwa kutoka mtaani January 2016 picha mbalimbali zimekua zikitoka zikionyesha maendeleo ya Hope akionekana amenawiri kiafya na hata shule anasoma.
Hapa chini ni picha zake za kabla na baada ya kuokotwa…

0 comments:

Post a Comment