Ni miaka miwili tangu mastaa Nicki Minaj na Drake wote kutokea kwenye label moja ya YMCMB kuonekana pamoja kwa kile kilichodaiwa kuwa Nicky aliamua kujiweka mbali na Drake ili asimkasirishe boyfriend wake, Meek Meel ambaye amekuwa kwenye ugomvi na Drake kwa muda.
Baada ya Nicki kuachana na Meek Mill wiki chache zilizopita, ameonekana kwenye picha moja na Drake kupitia page zao za Instagram ambapo wote wawili walipost picha mbili wakiwa pamoja na nyingine Lil Wayne.
0 comments:
Post a Comment