PICHA: Beyonce ni mama Kijacho…. time hii ni Mapacha

Taarifa kutoka kwa mwimbaji staa wa dunia Beyonce ambaye ni mke wa rapper maarufu Jay Z ni kuhusu yeye na mumewe kutegemea kupata watoto mapacha.
Kwenye Instagram yake B aliandika >>>Tungependa kushiriki nanyi upendo na furaha yetu. tumebarikiwa mara mbili zaidi, tunashukuru sana kwani familia yetu itaongezewa wawili na pia tunawashukuru kwa kututakia mema – The Carters

0 comments:

Post a Comment