February 2 2017 imeadhimishwa
siku ya sheria ambayo ndio mwaka mpya wa Mahakama kuashiria kuanza kazi
kwa Mahakama na mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli ambaye alihoji kuhusu
Mahakimu 28 ambao walifunguliwa kesi za jinai nyingi zikiwa za rushwa na
kushinda kesi hizo, alihoji je ni kweli kuwa hakufanya makosa hayo,
kesi ilikosewa kufunguliwa? au ?
0 comments:
Post a Comment