Wakati Rais Magufuli
akimaliza kuhutubia February 2 2017 ikiwa ni siku ya sheria maadhimisho
yakiwa yamefanyika viwanja vya Mahakama Ocean Road, Mama mmoja mkazi wa
Tanga Sabaha Ally mjane mwenye watoto wawili alijitokeza mbele ya Rais
Magufuli akiwa ameshika bango lenye maelezo na kutaka msaada kutoka kwa
Rais, hii video hapa chini ina kila kitu.
0 comments:
Post a Comment