Queen Darleen ambaye ni Dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz,
Amekanusha kuwahi kula penzi la Ali Kiba nakusema kuwa awali walikuwa
wanafanya kazi tu pamoja.
Pia Queen Darleen amekanusha kuwepo kwa bifu kati ya Alikiba na
Diamond Platnumz kwakuwa kwaupande wake hajawahi kumsikia kaka yake huyo
akitaja kumchukia Kiba.
#eNEWZ
0 comments:
Post a Comment