" Mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him
and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo
waliambiwa walipe....
Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa,
wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile
kubwa,
Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
0 comments:
Post a Comment