Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanaendelea
na mapumziko yao huko British Virgin Islands, na Jumanne hii waliungana
na mwenyeji wao, bilionea wa Uingereza, Richard Branson.
Obama na mkewe walisafiri kutoka Palm Springs walikokaa siku za wikiendi
kwenda kwenye visiwa hivyo kwenye private jet ya Branson.
Wawili hao wanaaminika kuwa wamefikia kwenye moja ya visiwa vinavyomilikiwa na bilionea huyo.
0 comments:
Post a Comment