VIDEO: Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ vs Waziri Massaun Bungeni leo

Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni leo moja ya Wabunge waliouliza maswali alikuwa ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu.
Sugu alitaka kauli ya serikali kuhusu watu wanaojichukulia sheria mikononi akitolea mfano tukio la kupigwa kwa Mwanafunzi kwenye shule ya Mbeya Day, majibu yakatolewa na naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Hamad Massaun, tazama hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment